Pamoja na kwamba ilikuwa ugenini, Man United ilikuwa ikipewa nafasi ya kushinda dhidi ya timu hiyo ndogo. Lakini imefungwa mabao hayo 2-1 pamoja na mshambuliaji wake Memphis Depay kufunga bao moja.m
MAN UNITED YACHEZEA KICHAPO UGENINI
Man united imechezea kipigo cha mabao 2-1 ugenini dhidi ya FC Midtjylland kwenye michuano ya Europa Cup

Pamoja na kwamba ilikuwa ugenini, Man United ilikuwa ikipewa nafasi ya kushinda dhidi ya timu hiyo ndogo. Lakini imefungwa mabao hayo 2-1 pamoja na mshambuliaji wake Memphis Depay kufunga bao moja.m
Pamoja na kwamba ilikuwa ugenini, Man United ilikuwa ikipewa nafasi ya kushinda dhidi ya timu hiyo ndogo. Lakini imefungwa mabao hayo 2-1 pamoja na mshambuliaji wake Memphis Depay kufunga bao moja.m
0 comments:
Post a Comment