DIAMOND PLATNUMZ NA AY WAMEINGIZA NYIMBO KATIKA TOP 5 YA BBC RADIO ONE XTRA

Mwanamuziki wa miondoko wa Bongo Fleva Diamond platnumz ameingiza nyimbo mbili katika Top 5 ya BBC RADIO ONE XTRA ambapo ngoma zilizoingia ni alizoshirikishwa ikiwamo ya Zigo Remix pamoja na You make me sing

0 comments:

Post a Comment