Kanye alitoa Album hiyo kupitia mtandao wa Tidal wa Jay z, Maelfu ya raia waliolipa ili kusikiza albamu hiyo walilalama kwamba wameshindwa kupakua albamu hiyo licha ya kuilipia.
Kwa sasa inaongoza miongoni mwa albamu zinazopakuliwa mitandaoni kwa njia ya wizi.
Albamu hiyo imeonekana mara mbili katika mtandao wa usambazaji wa miziki kumi bora iliopakuliwa,licha ya Kanye West kutuma ujumbe katika tweeter akisema kuwa albamu hiyo itapatikana katika Tidal pekee.
0 comments:
Post a Comment