"Katika mwaka huu mashabiki wangu nitaanza kuitwa Mama, kwani kila kitu kinawezekana kutokana na umri unaenda na maisha yanazidi kusonga mbele.
Mwasiti:Mwaka huu nakaribia kuitwa mama
Kupitia kipindi cha luninga cha Clouds E, mwasiti amesema kuwa mwaka huu mashabiki wake wategemee mabadiliko makubwa kutoka kwake, kwenye maisha yake.
"Katika mwaka huu mashabiki wangu nitaanza kuitwa Mama, kwani kila kitu kinawezekana kutokana na umri unaenda na maisha yanazidi kusonga mbele.
"Katika mwaka huu mashabiki wangu nitaanza kuitwa Mama, kwani kila kitu kinawezekana kutokana na umri unaenda na maisha yanazidi kusonga mbele.
0 comments:
Post a Comment