KAMPUNI YA HUAWEI KUZINDUA HUAWEI P9 YA 6GB RAM KESHO KWENYE TAMASHA LA AWALI LA CES(CONSUMER ELECTRONIC SHOW)
Kutokana na uvumi ambao unaendelea kwenye mitandao kuwa kampuni ya Huawei kuzindua simu yao ya Huawei P9 kuzinduliwa mawezi wa 3, inaonekana kuwa Huawei awapo nyuma kusubiri mpka mwezi wa tatu na kuteleta Huawei P9 kwenye tamasha la awali la CES(CONSUMER ELECTRONIC SHOW 2016) ambalo litafanyika kesho tarehe 5
Kitu ambacho kimefanya mataifa mbalimbali kuisubiri kwa hamu Huawei P9 ni kutokana kuwa na uwezo wa 6GB RAM na uvumi mwingine ni kwamba simu hiyo itakuwa na kioo cha ukubwa inch 5.2 na finger print scaanner
Mbali na Huawei P9 pia tunategemea Kuizindua simu yao nyingine ya Huawei Mate 8 katika tamasha hilo la CES 2016 litalo fanyika hiyo taehe 5 hadi 9
0 comments:
Post a Comment