WHATSAPP KUPATA HUDUMA YA VIDEO CALL



Kutokana na taarifa iliyochapishwa nchini Ujerumani, imeeleza kuwa watumiaji wa mtandao wa kijamii wa Whatsapp mda sio mrefu kutakuwa na uwezo wa kupiga Video call.

Kama ilivyomitandao mingine ambayo inatoa Huduma ya video call, Whatsapp nayo itakuwa na uwezo kama huo, ambapo mtumiaji ataweza picha ya anayempigia pamoja na picha ndogo ya kwake. Nakingine ambacho kitaongezwa katika Whatsapp video call ni kwamba mtumiaji atakuwa na uwezo wa kubadilisha camera anayotaka kutumia wakati wa video call, anaweza tumia kamera ya mbele au ya nyuma.

Update hii itaanza kwa watumiaji wa Iphone alafu Android ndio watafuatia, na kingine kutoka Whatsapp video call, mtumiaji anaweza piga simu hiyo akiwa anatumia Wifi na vilevile mtu anayetumia Interneti katika laini pia ataweza kutumia huduma hiyo
Whatsapp

Toleo la{version} 2.12.16.2 ndilo litakuwa na huduma hiyo ya Video call, Lakini tukumbuke kuwa toleo ambalo lipo sasa hivi la Whatsapp ni 2.12.12

0 comments:

Post a Comment