"Kwanza kabisa siipendi Hphop ya sasa kwasababu imepoteza ladha na mwelekeo tofauti na yazamani, Zamani watu walikuwa wakiimba vitu bila kuficha lakini siku hizi tumekuwa tukilaanisha vitu sana" alisema
"hiyo inanifanya niwe nasikiliza ngoma za hiphop za zamani kwasababu zinaniongezea radha" alisema kala
0 comments:
Post a Comment