BAADA YA KUPATA MTOTO WA KIKE, MARK ZUKERBERG AMETANGAZA KUTOA ASILIMIA HII YA MALI YAKE KUTOKA FACEBOOK

Mwanzilishi wa Kampuni ya mtandao wa Kijamii wa Facebook, Mark Zukerberg ametangaza kuwa atatoa asilimia 99 ya mali zake kutoka mtandao huo wa Facebook wenye thamani ya Dola Billioni 45 kwa maskini na watu wenye mahitaji maalumu.

Mmiliki huyo wa Facebook aliitoa barua hiyo jana baada ya kufanikiwa kupata mtoto wa kike aitwaye Max.

Barua iliyoandikwa na Zukerberg kwa mtoto wake Max

Dear Max,

Your mother and I don't yet have the words to describe the hope you give us for the future. Your new life is full of promise, and we hope you will be happy and healthy so you can explore it fully. You've already given us a reason to reflect on the world we hope you live in.

Like all parents, we want you to grow up in a world better than ours today.


0 comments:

Post a Comment