WIZKID KUFANYA MAHOJIANO NA JARIDA LA FADER LA MAREKANI, AMEZUNGUMZIA KUFANYA COLLABO NA WASANII HAWAPA..

Staa wa Nigeria, Ayo Balogun aka Wizkid ni mmoja ya wasanii wa Afrika ambao wanafanya vizuri kimataifa kwasasa.

Kupitia Jarida la Fader la Marekani lililofanya mahojiano na wizkid limesema kuwa wizkid kwa kupata nafasi ya kushirikiana na muimbaji wa kundi la Cold Play, Chris Martin kuandika wimbo wa Rihanna, Collabo yake na Tinie Tempah, na wimbo ambao bado hajatoka ‘African bad girl’ aliomshirikisha Chris Brown.

Kupitia Jarida hilo, Wizkid pia alizungumzia kuhusiana na maswala ya tuzo, ambayo kwa mujibu anasema kuwa hakuupenda mziki kwa ajili ya tuzo

“My real fans know I am not really about that kind of thing. That was not the reason why I fell in love with music”

pia alizungumzia kuhusu Nyimbo yake ya Odjuleba ambayo binafsi hakutegemea kama ingekuwa nyimbo ambayo ingefanya vizuri kwa sasa

“I knew it was a good song but I didn’t expect it to blow up the way that it did. My parents still live there. We have a house there.”


0 comments:

Post a Comment