PATRICK NGOWI NA DIAMOND PLATNUMZ NI MIONGONI MWA WATU 10 WALIOCHAGULIWA KUWA MABALOZI WA THE FUTURE AWARDS AFRICA 2015

Tuzo za The Future Awards Africa ‘TFAA’ wametangaza mabalozi wa maadhimisho ya 10 ya  Tuzo hizo, mabalozi hao ni pamoja na watu waliowahi kushinda Tuzo hizo kwenye upande wa biashara, maendeleo, utawala bora, burudani na ubunifu kwenye viwanda.

TFFA imechagua mabalozi 10 ikiwemo mwanamuziki  Diamond Platnumz (Tanzania) , Mjasilia mali, Patrick ngowi(Tanzania), Muandaaji wa muziki Michel ‘Don Jazzy’ Ajere (Nigeria), muimbaji wa kimataifa Bukola ‘Asa’ Elemide (Nigeria), Mjasilia mali wa urembo ara Fela Durotoye(Nigeria), mwanzilishi wa LEAP Africa Ndidi Nwuneli (Nigeria), Mwekezaji kwenye kilimo Nnaemeka Ikeguonu (Nigeria), Mwanaharakati Sangu Delle (Ghana), Mwanamabadiliko Fogblanbenchi Lily Harity(Cameroon), Mbuge Oramait Alengoil(Uganda).

Mwanachama Sean Obedih amesema wamewateuwa mabalozi hao kumi kwasababu Kazi zao na maisha yao yameshawashawishi Mamilion ya watu wengine kufanya kazi kwa ajili ya amaendeleo ya jamii zao.

“These 10 African icons have been selected from across East, West and Southern Africa because they represent the essence of TFAA. They speak to the best that Africa has, but more importantly their lives work have inspired millions to take charge of their destinies and to get involved in rebuilding their communities and their countries.There are no better ambassadors than these to drive our #AfricaNeedsYou message as we celebrate 10 years of the awards and prepare for 10 more years of impact.”Alisema  Sean Obedih










0 comments:

Post a Comment