NAVY KENZO KUWANIA TUZO ZA TOP NIAJA MUSIC AWARDS 2015 KUTOKA NIGERIA

Kundi la Navy Kenzo limechaguliwa kuwania tuzo za Top Niaja Music Awards 2015 za Nigeria ambazo zitafanyika January 2 Mwakani.

Navy Kenzo kutoka Tanzania wanawania kipengele cha Kikundi Bora cha Mwaka ambapo humo ndani wanakutana washindani wao wengine ambao ni Dupi2, Connect Music Group(CMG), Ace Republick, Dp Kings na Betrose.
Navy Kenzo Naija Awards

Kundi la Navy Kenzo liliandika katika kurasa yao ya Instagram


0 comments:

Post a Comment