"Nimemaliza nikiwa mfungaji bora lakini kitu nilichokuwa natamani sana ni kutwaa ubingwa na nilikuwa nahamu nao zaidi, na hii imekuwa historia kwangu" Samatta alimwambia Shafii Dauda.
"Naidadicate medali hii kwa mama yangu nadhani ingekuwa vizuri kama angekuwepo leo na kushuhudia mafanikio yangu lakini bahatai haikuwa yake, bahati mbaya ameshafariki siku nyingi kwahiyo nimebakiwa na mzee pekeyake na kwa jinsi ninavyompenda na kumuheshimu nampa ushindii huu kwake" Alisema Samatta.
0 comments:
Post a Comment