KUWA MNENE SIO MAANA HUWEZI TIMIZA KIPAJI CHAKO CHA KU BREAKDANCE, NO EXCUS, TAZAMA HII VIDEO
Nani kakwambia kuwa na mwili wa Unene huwezi kucheza Breakdance? chamsingi ni kufanya mazoezi ya kuufanya mwili kuwa mwepesi na kuweza kujibeba, Wewe una mwili Mnene na unapenda Kufanya Breakdance basi tazama huyu Bboy Dumy alafu amini kuwa hata wewe unaweza.
0 comments:
Post a Comment