Hivi unajua kuwa Video ya Dont Bother ya joh Makini ft AKA imegharimu kiasi cha Milioni 32 ili kukamilisha video yote hiyo ambayo imekuwa Talk of the town.
Kupitia Kipindi cha Planet Bongo cha EATV, Joh alisema kuwa Video hiyo alifanyia Afrika Kusini chini ya Director Justin Campos wa Gorilla Films, ambapo video nzima ilitumia dola 15,000 ambazo ni sawa na Milioni 32 za Kibongo.
"Kwa level ambazo naelekea za Kimataifa inanibidi kulipa pesa nyingi zaidi, Gharama ya Dont bother ni dola 9000, including models and production lakini ukiongeza na shoping za mavazi jumla imegharimu 15000" Alisema Joh kupitia Planet Bongo.
0 comments:
Post a Comment