Nikki wa pili aliiambia BONGO 5 kuwa ngoma ya Baba Swalehe ni ngoma ambayo itadumu milele.
"Kichwa cha jino la wimbo kimechangia wimbo kwenda haraka, utofauti wa kilichoimbwa, ujumbe ni wakufurahisha sana, muundo wa chorus ni mpya, beat hadi michano ni vipya ndio kitu ambacho kimewagusa watu" Nikki aliiambia Bongo 5.
0 comments:
Post a Comment