YOUNG DEE, AMEJITOA MTU CHEE

Kundi la ‘mtu Chee’ linalomilikiwa na wasanii watatu Young Dee, Stamina na Country Boylimeonekana kuyumba.. kuna cover inasambaa mitandaoni ikiwa na teaser ya ngoma yao mpya lakini hayupo Young Dee na nafasi yake imechukuliwa na Young Killer..Country Boykazungumza na kusema walikubaliana wote kutoa ngoma lakini Young Dee alionekana kutokuwa tayari na uongozi wake kumkataza kufanya kazi na kundi lake hilo..ikabidi wamuongeze Young Killer.

0 comments:

Post a Comment