Kwa mara ya kwaanza kamouni ambayo inadili na kutoa vinywaji Pepsi, wanakwambia wanataka ndio wawe kampuni ya mwisho ambayo itakuletea smartphones.
Kampuni hiyo ipo kwenye michakato ya kutengeneza simu yao ambayo ni aina ya Android itakayoitwa jina la PEPSI P1.
Simu hiyo imezungumziwa kuwa itakuwa na sifa za kisasa zaidi kama
Kioo cha inch 5.5 chenye uwezo wa kuonesha HD
.
Procesa yake itakuwa na uwezo wa 1.7GHz na 2GB za RAM
Pepsi p1 kamera yake itakuwa na uwezo wa megapixxel 13 ya nyuma na kamera ya mbele ni megapixel 5, pia itakuwa na uwezo wa kuhifadhi kumbukumbu wa 16GB.
Simu hiyo itakuwa na softwere ya kisasa zaidi kutoka Android ya 5.1 lollipop.
Bei yake itakuwa na gharama ya $205,
Haijalishi kama hii simu ni ya Pepsi au Kampuni imeamua kununua jina hilo bado haijakuwa lasmi, bado.
0 comments:
Post a Comment