Rappar Stamina kwake ipo tofauti kubadilisha aina ya mziki anaofanya kisa biashara, Kupitia kipindi cha Planet Bongo cha EA RADIO Stamina alizungumza juu ya swala la kutobadilisha kuimba HipHop kwani ndio kitu anachokipenda kukifanya toka moyoni
"mimi nafanya HipHop kwasababu ni kitu amabcho nakipenda kwenye roho yangu either kinanilipa, either hakinilipi nafanya what i feel, sio kila mtu anapenda kwenda clabu, kuna mwingine anapenda tu kukaa nyumbani na kusikiliza nyimbo sio lazima ichezeke, mi ninachohitaji ukisikiliza mziki wangu haundoki bure"Alisema Stamina.
0 comments:
Post a Comment