SAUTI SOUL NA ALIKIBA WAKO MBIONI KUACHIA NGOMA YAO MPYA KWENYE ALBUM YA LIVE AND DIE IN AFRICA



Wasanii wa kundi la muziki la Kenya ‘Sauti soul’ wamesema wimbo waliofanya na mkali wa ‘Cheketua’ Alikiba upo njiani na utajumuishwa kwenye Album mpya ya Sauti soul ‘Live And Die In Africa’

Wakali hao kutoka Kenya wameshatoa ngoma kali ambazo zinafanya vizuri kwenye albamu yao ya tatu ya Live And Die in Africa, ambazo ni Nerea,Sura yako na Isabella
kiba



0 comments:

Post a Comment