hizo ni mojawapo za picha za staa huyo wa miondoko ya Pop baada ya kusambaa kwenye mitandao na kuwacha mashabiki midomo wazi
Jarida la Hoffing Post lilisema picha hizo zilipigwa na Camera yenye lenzi ya kuchukua matukio ya mbali ambapo alikuwa katika mapumziko huko Bora Bora akiwa na model Jayde peirce
huyo ni mwanadada jayde perce ni modo aliyekuwa na justin beaber
0 comments:
Post a Comment