Black berry hiyo ambayo inasifa ya kuwa na screen ya inch 5.4,
kioo chake ni 2k resolution ambayo ni HD screen, pia simu hiyo pia inauwezo wa 32GB internal storage,
3GB RAM ambayo unaweza kufanya mambo mengi kwa haraka zaidi, simu hiyo ambayo unaweza kulinganisha na simu ya samsung galaxy s6 edge kwa upande wa screen ambayo muenekano wake uko vizuri sana.
Simu hiyo camera yake yenye uwezo wa megapixel 18 camera ya nyuma na camera ya mbele ikiwa na megapixel 5 ambazo unaweza kuchukua selfie ya hali ya juu.
0 comments:
Post a Comment