Familia ya mwanamuziki John legend pamoja na mkewe Chrissy Teigen wametangaza rasmi kuwas ni wazazi watarajiwa hapo baadae,
Chrissy alitangaza kupitia mtandao wake wa instagram kuwa ni mjamzito na anafurahia maisha yake kuwa mjamzito na wanashukuru kwa kupata ujauzito huo ambayo ni furaha kubwa katika maisha yao kwa sasa
Teigen aliandika hivi katika ukurasa wake wa instagram
“John and I are so happy to announce that we are pregnant :),” Teigen captioned the photo. “As many of you know, we’ve been trying to have a baby for a while now. It hasn’t been easy, but we kept trying because we can’t wait to bring our first child into the world and grow our family. We’re so excited that it’s finally happening. Thank you for all your love and well wishes. I look forward to all the belly touching! Xx”
0 comments:
Post a Comment