IZZO BUSINESS "SHEM LAKE" VIDEO KITU KIZURI VERY SOON

Izzo business amesikika leo kwenye Radio ya clouds fm kwenye kipindi cha 255, akizungumzia kuhusiana na ujio wa ngoma yake ambayo inafanya vizuri sana kwa muda huu ya "Shem lake" iliyo washirikisha wasanii wa kali kama Mwana FA pamoja na G warawara 

Amesema video bora na kali itakuja very soon kwahiyo mashabiki na wasikilizaji wa "shem lake" wake mkao wa kula kupata video nzuri zaidi.

0 comments:

Post a Comment