BILLBOARD YARIPOTI USHINDI WA DIAMOND PLATNUMZ KWENYE TUZO ZA MTV EMA 2015

Ushindi wa Tuzo ya Best worldwide Act kutoka MTV EMA imezidi kumpa heshima mwanamuziki Diamond platnumz na kumfanya Kuandikwa kwenye mitandao mikubwa Duniani kama Billboard.com ya Marekani pamoja na Dailymail.co.uk ya uingereza

Diamond platnumz bado anazidi kuiwakilisha Tanzania kupita muziki wa Bongo fleva na kufanya nchi kuzidi kujulikana Kimataifa zaidi.


0 comments:

Post a Comment