TAZAMA VIDEO YA UTAMU UTAMU ILIYOIMBWA KWA LUGHA YA KIHINDI



Wimbo wa Utamu Utamu wa Duly sykes aliomshirikisha Omy Dimpoz na Diamond Platnumz umerudiwa kwa lugha ya Kihindi na msanii aitwaye R&B Paul.

Paul wimbo huo ameuita jina la Aana Voona Darling  na wimbo huo umepewa ridhaa ya kutumiwa kwa lugha hiyo ya kihindi kutoka kwa Duly sykes.


0 comments:

Post a Comment